MAELEKEZO

   


1. SISI NI NANI?

Jina letu ni Swahiliflix na tunapatikana Arusha, Tanzania.

2. TUNAHUSIKA NA NINI?

Tunahusika na utoaji wa huduma bora za movie za aina zote zilizotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

3. TUNATOAJE HUDUMA YETU?

Huduma yetu ya movie tunaitoa kupitia App yetu maalum ya Swahiliflix, na sio WhatsApp, tofauti na huduma nyingi ulizozoea.

4. MAELEKEZO YA KUTUMIA APP YETU YA MOVIE

👉 BONYEZA HAPA  kupata maelekezo ya matumizi ya app yetu.

5. MAMBO MUHIMU YA KUFAHAMU KABLA YA KUJIUNGA

🔹 Season zote kuanzia Episode 1 – 8 ni bure (ofa), mtu yeyote anaweza kuangalia.
🔹 Kuanzia Episode 9 hadi mwisho, zimefungwa na zinafunguliwa kwa wanachama waliojiunga tu.
🔹 Single movies zote zimefungwa na zinapatikana kwa waliojiunga tu.
🔹 Ili kuangalia movie kwenye app, lazima uwe na MB (data), lakini pia unaweza kudownload movie kwa matumizi ya offline.

6. GHARAMA ZA KUJIUNGA NA HUDUMA

💰 Mwezi 1 – 4,000  $ 1.53 
💰 Miezi 2 – 8,000    $ 3.7 
💰 Miezi 3 – 12,000  $ 4.60 

7. FAIDA ZA MTEJA ANAPOJIUNGA

✅ Unafunguliwa movie zote zilizopo ndani ya app
✅ Unapata huduma bila usumbufu
✅ Unapata movie kwa ubora wa hali ya juu

8. UWAMINIFU WETU

Huduma yetu ni salama kwa 100%, na watoa huduma wetu wanajua maana halisi ya uwaminifu, uaminifu na huduma bora kwa mteja.

9. NJIA YA KUJIUNGA NA HUDUMA YETU YA MOVIE

 BONYEZA HAPA KUJIUNGA

📲 Swahiliflix – Movie bora kwa Kiswahili, kwa urahisi na uaminifu

Maoni